“Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani.”

Maneno hayo yameandikwa na muigizaji Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram akitangaza uamuzi wake wa kuhama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM).

Wema Sepetu ametangaza uamuzi huo ikiwa ni meizi 10 tu imepita tangu alipojiunga na CHADEMA akitokea CCM.

1489 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!