Timu ya Yanga leo majira ya saa moja usiku kitashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa kuumana na Rayon Sport ya Rwanda katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, bila wachezaji wake nyota ambao ni  Amis Tambwe bado hajaimarika vizuri kiafya, Donald Ngoma,  Beno Kakolanya ambaye alijitonesha goti lake katika mechi ya ligi dhidi ya Tanzania Prisons, Ibrahim Ajibu aliye na matatizo ya kifamilia, na Papy Kambamba Tshishimbi aliyesafiri kurejea kwao kutokana na matatizo ya kiafya kwa ajili ya matibabu.

2948 Total Views 3 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!