JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2016

Machimbo Geita yanavyoathiri taaluma

Wakati sheria ya madini namba 14 ya mwaka 2010 ikizuia watoto kufanya kazi katika maeneo ya machimbo, hali imekuwa tofauti katika eneo la kijiji cha Ikandilo kata ya Nyaruyeye Halmashauri ya wilaya ya Geita. Katika eneo hilo watoto wamekuwa wakifanya…

Ndugu Rais kipi kianze?

Ndugu Rais, Mwenyezi Mungu alipotuumba sisi wanadamu hakutuumba kwa bahati mbaya! Alikuwa na makusudi yake! Wala hakutuumba kwa ajili yetu, bali kwa utashi wake! Kwa kuwa hakuna aliyeumbwa kwa bahati mbaya, basi kila aliyeumbwa, ameumbwa ili atimize kusudi la Muumba…

Kejeli, vijembe vyatawala mdahalo wa urais Marekani

Joto la uchaguzi nchini Marekani linazidi kupanda kufuatia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Novemba, mwaka huu huku kukiwa na ushindani mkubwa kati ya mgombea wa chama cha Republican na Democratic. Wagombea wa pande zote mbili – Hillary Clinton wa Democratic na Donald…

Sudan yatuhumiwa kutumia silaha za maangamizi

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, limedai serikali ya Sudan imekuwa ikitumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake katika eneo la Darfur na kusababisha vifo vya watoto 200 na kuacha watu wengine kadhaa katika hali mbaya…

U-kinyonga na u-popo ni hatari (3)

Sehemu iliyopita, mwandishi wa makala hii, akinukuu maneno ya Kamara Kusupa, alisema hakuna chama hata kimoja, si CHADEMA wala si CUF wala si NCCR – Mageuzi hata hiyo CCM yenyewe vimewahi kushirikisha wanachama wake wote katika uamuzi mkubwa. Upo mfumo…

Wachukie wachache ili wengi wafurahi (2)

Wiki iliyopita, nilisema Rais John Magufuli amedhamiria kurejesha heshima na wajibu wa Serikali kwa wananchi.  Nikasema hayo hayatawezekana endapo ataogopa lawama na hivyo kuruhusu ufisadi, rushwa, uzembe na udhaifu mwingine kwa sababu tu ya kuwafurahisha walionuna.  Bado naamini Rais ana…