Month: May 2018
Wakenya waandamana dhidi ya rushwa Kenya baada ya ufichuzi wa uporaji mkubwa
Raia wa Kenya wanafanya maandamano makubwa katika miji mikubwa ya nchi hiyo kulaani ufisadi wa mabilioni ya dola katika serikali. Mijadala juu ya kashfa za Ufisadi imetawala mitandao mbali mbali ya kijamii kupitia mada: #TakeBackOurCountry, #STOPTheseTHIEVES, #SitasimamaMaovuYakitawala na #NotYetMadaraka. Katika…
Zinedine Zidane aachia ngazi Real Madrid
Zinedine Zidane amesema anaachia ngazi Real Madrid siku tano baada ya kuwaongoza kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya. Zidane aliambia mkutano na vyombo vya habari kwamba kila kitu kinabadilika na kwamba hiyo ndio sababu ya uamuzi wake Anaondoka baada ya kuisaidia…
Mzee Yahaya Akilimali Atangaza nia ya Kuwania Uwenyekiti wa Klabu ya Yanga
Mzee Yahaya Akilimali leo asubuhi ametanganza nia ya kugombea Uwenyekiti wa Timu ya Yanga mwaka huu Amesema hayo baada yeye mwenyewe kukili kwamba ndani ya klabu ya Yanga kuna matatizo hivyo yeye ndio mtu sahii kuinusuru Yanga sc kwa sasa….
Mhubiri awaomba waumini wamnunulie ndege yake ya nne Marekani
Mhubiri mmoja wa Kiinjilisti nchini Marekani amewaomba waumini wake kuchanga pesa za kumsaidia kununua ndege yake ya nne. Amesema hata kama Yesu angekuwepo siku hizi, “hangekuwa anapanda punda”. Jesse Duplantis amesema Mungu amemwambia anunue ndege aina ya Falcoln 7X ambayo…
SIMBA KUTANGULIA KENYA KWENYE MASHINDANO YA SPORTPESA
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba walitarajiwa kuondoka leo na kikosi cha watu 25 kwenda nchini Kenya ambao itafanyika michuano ya Kombe la SportPesa Super Cup. Michuano hiyo itaanza Juni 3 hadi 10 ikishirikisha timu 8 kutoka Tanzania Bana na…
TFF YAONGEZA MPUNGA KWA BINGWA WA KOMBE LA FA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeongeza zawadi ya mshindi wa Kombe la Shirikisho ‘Azam Sports Federation Cup’ ili kuzidi kuongeza hamasa ya mashindano hayo. Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Shirikisho hilo, Clifford Ndimbo, amesema kuwa zawadi ya mshindi wa…