Mzee Yahaya Akilimali Atangaza nia ya Kuwania Uwenyekiti wa Klabu ya Yanga

Mzee Yahaya Akilimali leo asubuhi ametanganza nia ya kugombea Uwenyekiti wa Timu ya Yanga mwaka huu

Amesema hayo baada yeye mwenyewe kukili kwamba ndani ya klabu ya Yanga kuna matatizo hivyo yeye ndio mtu sahii kuinusuru Yanga sc kwa sasa.

Alienda mbali Zaidi na kusema ukiona Mbwa anabweka ujue mwenye Mbwa yupo jirani na huyo Mbwa.

Wengi wanbeza kauli yake anaonekana ni kama mtu ambaye yeye anatumwa na watu kuweza kuivurunga Yanga

Kwani alipoulizw swali  kwanini wakati Yanga inadaiwa na wachezaji hakuweza kusaidia kulipa madeni. Hakuweza kujibu alibaki anacheka na kukata simu

wewe una Maoni gani kuhusiana na hili?