Month: June 2018
Tangazo lililowahimiza wanawake kuzaa na wachezaji wa nje Urusi lashutumiwa
Maduka maarufu ya vyakula nchini Urusi yameomba msamaha baada ya kutangaza zawadi ya dola 47,000 na 'burger' (mkate maalum uliotiwa nyama) maishani kwa mwanamke yeyote ambaye angejamiiana na kuzaa mtoto na mchezaji wa kandanda kutoka nchi za nje katika…
Erdogan ashinda muhula wa pili wa urais Uturuki
Tume ya uchaguzi nchini Uturuki imemtangaza Rais Recep Tayyip Erdogan kama mshindi wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika June 24. Erdogan ambaye aliingia madarakani 2014 ameshinda muhula wake wa pili kwa ailimia 53 ya kura zote zilizohesabiwa akiepuka…
Brazili Yaitandika Costa Rica Dakika zanyongeza
Kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kimesafisha makosa yake iliyoyaonyesha katika mchezo wa kwanza dhidi ya Switzerland kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Costa Rica leo. Mabao ya Brazil yamewekwa kimiani katika dakika za nyongeza kuelekea…
Peter Msigwa Asema Wabunge wa CCM Wanampaka Mafuta kwa Mgongo wa Chupa Rais Magufuli
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango, amemvaa waziri huyo wa fedha, na kumwambia kwamba…