Year: 2018
KOMBE LA DUNIA URUSI LEO NI ZAMU YA BRAZIL, MECHI ZINGINE KWA UJUMLA HIZI HAPA
Michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi inaendelea tena Jumapili ya leo kwa jumla ya mechi tatu kupigwa. Brazil ambao wametwaa ubingwa wa mashindano hayo mara tano watakuwa wanacheza na Switzerland, wakati Ujerumani watakuwa wanakipiga na Mexico. Ratiba kamili ya…
Ukawa kuwasilisha Bajeti yao Jumatatu
Chama cha Chadema ambacho ni chama kikuu cha Upinzani hapa Tanzania umesema kuwa utawasilisha bajeti yake mbadala bungeni siku ya Jumatatu, waziri kivuli wa fedha na mipango Halima Mdee amesema. Hii itakuwa mara ya kwanza kwa upunzani kuwasilisha maoni yake…
UFARANSA YAANZA VIZURI KOMBE LA DUNIA DHIDI YA AUSTRALIA
Ufaransa imefanikiwa kuibuka na ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu nchini Russia wa mabao 2-1 dhidi ya Australia. Mabao ya mchezo huo yametiwa kimiani na Antoine Griezmann katika dakika ya 58 kwa njia ya…
Huyu ndio Ronaldo Bana Apiga Hat Trick
Mtanange uliokuwa unasubiriwa kwa hamu Afrika na pande zingine duniani baina ya Spain na Ureno umemalizika kwa timu zote kuambulia alama moja baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya 3-3. Mechi hiyo imepigwa kwenye Uwanja wa Fisht uliopo Sochi…