Year: 2018
Yanga Yakubaliwa Kujiondoa Kagame Cup
Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limekubali maombi ya Yanga kujiondoa katika mashindano ya KAGAME baada ya kutuma barua iliyoeleza kuomba kujitoa Yanga ilituma barua kupitia TFF ikiomba kujiondoa ili kuwapa nafasi wachezaji wake mapumziko kwa ajili ya…
Urusi yaanza Vema Mashindano ya Kombe la Dunia baada ya Kuibebesha Zigo la Mabao Saudi Arabia
Dakika 90 zimemalizika katika Uwanja wa Luzhniki kwa wenyeji Urusi kuibuka na ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya Saudi Arabia katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Kombe la Dunia. Mechi hiyo ya aina yake imeshuhudiwa bao la…
RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU ENGLAND IMETOKA, ARSENAL KUANZA NA MANCHESTER
Ratiba ya Ligi Kuu England imetoka rasmi leo ambapo mechi za kwanza zitaanza kuchezwa Jumamosi ya Agosti 11 2018. Ratiba inaonesha Arsenal itaanza na mabingwa watetezi wa taji hilo, Manchester City huku Man United wakianza na Leicester City. Ratiba kamili…
MAKAMU RAIS ZFA PEMBA AACHIA NGAZI
MAKAMU wa Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) Pemba, Ali Mohammed Ali, ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa huo. Makamu huyo ameungana na Rais wa chama hicho, Ravia Idarous Faina, Makamu wa Rais Unguja, Mzee Zamu Ali na Abdul Ghani Msoma….
WACHEZAJI WA SIMBA WAPITA KWENYE TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), imekamilisha uteuzi wa wachezaji 3 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018. Wachezaji watatu waliobaki katika kinyang’anyiro hicho ni Emmanuel Okwi, John Bocco…