JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

Padri mwengine auawa DRC

Kasisi wa kanisa katoliki amepigwa risasi na kufa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo. Vyanzo vya habari kutoka Kaskazini mwa jimbo la Kivu vimearifu kuwa Padri Étienne Nsengiunva alikuwa akikomnisha waumini na ndipo wakati mtu mwenye silaha alipoingia kanisani…

Uwanja wa ndege za kivita wa Syria washambuliwa kwa makombora

Watu kadha wamefariki katika uwanja mmoja wa ndege wa kijeshi nchini Syria baada ya shambulio la kutumia makombora, vyombo vya habari vya serikali ya Syria vinasema. Shirika la serikali la SANA limesema makombora kadha yalirushwa uwanja wa ndege wa Tayfur,…

MAJALIWA AKUTANA NA MABLOZI

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutumia fursa hiyo kwa kutangaza vivutio vilivyopo nchini ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii. Pia amewataka Mabalozi kila mwisho wa mwaka wajifanyie…

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA MHASHAMU ISAAC AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU KATOLIKI LA ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Askofu Msaidizi Prosper Lyimo  alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu…