JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

Miaka 61 Uhuru wa Ghana: Tunajifunza?

Hotuba ya rais wa kwanza wa Ghana, Kwame Nkrumah siku ya uhuru wa nchi yake Machi 6, 1957 ilikuwa na ujumbe mmoja mzito: Uhuru wa Ghana hautakuwa na maana yoyote iwapo nchi nyingine za Afrika zitabaki chini ya utawala wa…

Siasa zimetosha, tuingie viwandani

Na Deodatus Balile   Miaka ya 1950 wakati Tanganyika inapigania Uhuru lengo kuu lilikuwa ni kukomboa watu wetu kutokana na unyanyasaji wa hali ya juu waliokuwa wanafanyiwa na Wakoloni. Hali ilikuwa hivyo hivyo kwa upande wa Zanzibar dhidi ya Waarabu….

‘Bandari ya Dar itumike kuboresha biashara’

DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Wafanyabishara katika soko la Kariakoo wameiomba Serikali kuweka mazingira mazuri yatakayowawezesha kuitumia bandari ya Dar es Salaam kwa ufanisi na kuboresha biashara zao. Wakihojiwa na JAMHURI wiki iliyopita, wafanyabiashara hao wamesema kuwapo kwa mazingira…

‘Utitiri wa kodi unaua biashara’

DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Wafanyabishara katika Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam wameiomba Serikali kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara wote nchini wapate fursa kubwa ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam, badala ya kuikimbia. Wafanyabiashara hao…

‘Wakorea Weusi’ watishia amani Mbeya

Na Thompson Mpanji, Mbeya   KUIBUKA kwa kundi kubwa la vijana wanaofanya uhalifu bila woga huku wakijiamini kutenda makosa ya jinai hata kutishia maisha na mali za wakazi wa Jiji la Mbeya wanaojiita “Wakorea Weusi”, limezidi kutia hofu na kuwalazimisha wananchi walio…

Akwiline azidi ‘kumliza’ Waziri wa JPM

NA ANGELA KIWIA Kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) cha jijini Dar es Salaam, Akwiline Akwilina kinaendelea ‘kutesa’ mioyo ya watu. Akwiline aliuawa Februari 16, mwaka huu baada ya kupigwa risasi akiwa kwenye daladala. Risasi…