Year: 2018
BAADA YA KUNUNUA NYUMBA AFRIKA KUSINI DIAMONDA SASA KUNUNUA NYUMBA RWANDA
Diamond amewauliza mashabiki wake wa Rwanda ni sehemu ipi ambayo ni nzuri kwa ajili ya makazi. Kupitia ukursa wake wa Instagram muimbaji huyo wa WCB wameandika; am looking for a property to buy in Kigali My future new home for…
MZEE AKILIMALI:NITAPINGA YANGA KUMILIKIWA NA MTU MMOJA HADI KABURINI
Mwanachama mkongwe wa klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali, amesema kuwa ataendelea kupinga suala la ukodishwaji wa klabu hiyo hadi atakapoingia kaburini. Mzee Akilimali amedai kuwa amekuwa na bahati mbaya kwa baadhi ya wanachama na viongozi wa Klabu ya Yanga kutokana…
MAJALIWA:SERIKALI HATUTASUBIRI KUWAUNDIA TUME WEZI, MAFISADI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini wasijihusishe na vitendo vya wizi, ufisadi kwani Serikali haitosubiri kuwaundia tume za kuwachunguza bali itawashughulikia hapo hapo. Amesema Serikali haikotayari kuwavumilia watumishi wanaojihusisha na wizi, ubadhilifu, rushwa na uzembe, hivyo ni…
MWENYEKITI MPYA WA UVCCM AWASILI RASMI OFISINI
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kheri D James akisalimiana na Mtumishi wa Makao Makuu ya Umoja wa Vijana wa CCM Bi.Sheila Alipowasili katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Umoja wa Vijana Wa CCM Upanga Leo….
MHASIBU WA SIMBA KIKAANGONI
Shirikisho la soka Tanzania TFF imewapeleka kwenye kamati ya maadili viongozi wanne kwa kughushi na udanganyifu. Viongozi walioshitakiwa kwenye kamati ya maadili ni msimamizi wa kituo cha Mtwara Dunstun Mkundi, katibu wa chama cha soka mkoa wa Mtwara Kizito mbano,…
WAZIRI TIZEBA ATEMBELEA NALIENDELE
Jumla ya miche ya Mikorosho Million10 imezalishwa na Taasisi ya utafiti wa Kilimo NALIENDELE Iliyopo mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania CBT kwa ajili ya kusambaza katika mikoa yote inayozalisha Zao la korosho