JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

WAZIRI MKUU AWAONYA DC NA DED NYASA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Bi. Isabella Chilumba na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Dk. Oscar Mbyuzi waache malumbano ambayo yanawavuruga watendaji walio chini yao. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Januari 6, 2018) wakati akizungumza na…

WAZIRI MKUU AAGIZA VIONGOZI NCHINI WATOE TAARIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri wote, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya na Wakurugenzi watoe taarifa za fedha za miradi ya maendeleo kwa wananchi badala ya kusubiri ziara za viongozi wakuu. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi,…

Philippe Coutinho Rasmi Barcelona, Asaini Miaka 5

Barcelona imetangaza kuwa wamekamilisha usajili wa Philippe Coutinho kwa mkataba wa miaka mitano kutoka Liverpool Miamba hao wa La Liga walimkosa Mbrazili huyo dirisha la uhamisho wa majira ya joto licha ya kutoa ofa tatu nono, lakini baada ya tetesi…

TUNDU LISSU AWASILI NCHINI UBELGIJI KWA MATIBABU

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amewasili jijini Brussels, nchini Ubelgiji alikopelekwa kwa ajili ya matibabu zaidi na mazoezi ya viungo. Jana aliondoka katika Hospitali ya Nairobi alikolazwa kwa takribani miezi minne akipatiwa matibabu.

AZAM YAENDELEZA UBABE KWA SIMBA KOMBE LA MAPINDUZI

Mshambuliaji Iddi Kipwagile ameihakikishia timu yake ya Azam kutinga nusu fainali ya kombe la mapinduzi baada ya kuifunga Simba bao 1-0 Kikosi cha Azam FC leo kimeonyesha dhamira yake ya kutaka kutetea ubingwa wa kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka…

KINGUNGE ANENAMAZITO KWA MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.