JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

Waziri wa Nishati Ahukumiwa Jela Miaka Minne kwa Rushwa

WAZIRI wa zamani wa Nishati wa Zimbabwe, Samuel Undenge, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia katika makosa ya rushwa Waziri huyo aliyefanya kazi kipindi ya Rais Robert Mugabe amekuwa kiongozi wa kwanza kuhukumiwa tangu kiongozi…

Madiwani 30 wa CCM Wapita Bila Kupingwa

TUME ya taifa ya uchaguzi, NEC wamesema wagombea wa udiwani 3O kutoka CCM wamepita bila kupingwa baada ya wagombea wa upinzani kuenguliwa kwa sababu mbalimbali kwenye uchaguzi unatarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu. Vyama vya upinzani, CHADEMA na ACT wiki…

Mesut Ozil ajiengua timu ya taifa ya Ujerumani

Kiungo mshambuliaji wa Arsenal Mesut Ozil amesema hataki tena kuiwakilisha Ujerumani katika michuano ya kimataifa. Katika taarifa ndefu iliyotolewa na Ozil mwenye miaka 29, imesema kufanyiwa vitendo visivyo vya kiungwana na chama cha soka cha Ujerumani DFB, kumemfanya asitake tena…

Reli mpya ya SGR nchini Kenya iliofadhiliwa na China yasababisha hasara ya $100m

Mradi wa reli mpya ya kisasa nchini Kenya SGR umesababisha hasara ya $100m (£76m) katika kipindi cha mwaka wa kwanza wa operesheni zake , kulingana na wizara ya uchukuzi nchini humo. Mradi huo uliofadhiliwa na serikali ya China ambao unaunganisha…