JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2019

Yah: Mheshimiwa Rais, bado kuna mambo mengi

Salamu zangu ni za kawaida kwa sababu kwanza naamini katika upendo; pili, naamini katika undugu; Watanzania wote ni kitu kimoja na ni ndugu, tunapaswa kupendana sana. Upendo tutakaokuwa nao ndio utakaotufanya tuwe na mshikamano na hatimaye tutavuka hili tuta kubwa…

Yanga kutetema mbele ya Lipuli?

Timu ya Yanga imeendelea kugawa dozi kwenye Kombe la FA, baada ya kufuzu kuingia katika hatua ya nusu fainali, baada ya kuwatupa nje ya michuano hiyo timu ya Alliance kwa jumla ya penaltiĀ 4-3 katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza,…