JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2019

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (18)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kusema wiki hii nitaangalia taratibu na viwango vya kodi wanazolipa wafanyakazi walioajiriwa katika kampuni, taasisi au shirika, kisha ikiwa nafasi itaruhusu nitajadili kodi ya mashirika. Sitanii, kabla ya kuangalia kodi hizi naomba uniruhusu mpendwa…

Butiku: Ni miaka 23 ya Nyerere Foundation

“Jengo hili litakuwa na ofisi za kudumu za Taasisi ya Mwalimu Nyerere, maktaba ya taasisi itakayotoa fursa kwa Watanzania na watu wengine wote kusoma maandiko na nyaraka mbalimbali alizoandika Mwalimu Nyerere, pamoja na shughuli za uwekezaji za wabia, hususan hoteli…

Ndugu Rais kwa hili mwanao ninakuunga mkono

Ndugu Rais umewaita wafanyabiashara Ikulu tambua makundi mengine nayo yanasubiri uwaite. Uamuzi wako wa kutumbua papo kwa papo uliwajengea baadhi matumaini. Ninakuunga mkono. Lakini uliowabadilishia wana tofauti gani na uliowaondolea? Mojawapo lililomuondoa Mwigulu Nchemba si Lugumi Enterprises? Mbadala wake kafanya…

Bandari hailali, chukua mzigo wako saa 24/7

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na wadau wake wa bandari imeendelea kuboresha na kurahisisha utoaji huduma kwa wateja wake katika Bandari ya Dar es Salaam. Uboreshaji huo unaendelea kufanyika kwa sababu bandari ni lango kuu la…

Serikali hazina uwezo kumaliza matatizo yote

Narudia mada ambayo hunikosesha usingizi mara kadhaa kila mwaka: elimu. Mahsusi ni ugumu wa kuhimiza jamii kuchangia uboreshaji elimu. Ni suala ambalo nalikabili kila niwapo kazini kwa sababu ya nafasi yangu kama msimamizi wa asasi isiyo ya kiserikali inayogharimia mahitaji…

Kumshitaki daktari aliyesababisha madhara au kifo

Wako watu wengi wameathirika kutokana na matendo yanayotokana na uzembe, kutojali au makusudi ya madaktari. Wapo waliopata vilema vya muda kutokana na uzembe huo, wapo waliopata vilema vya maisha na wapo waliouawa na madaktari. Ajabu ni kuwa ukifanya tathmini ya…