Day: July 2, 2019
Demokrasia ya vyama vingi si uhasama
Imetimu miaka 27 sasa tangu Watanzania waamue kurejesha mfumo wa demokrasia wa vyama vingi vya siasa nchini (1992 -2019). Katika harakati za kurejesha mfumo huu, kuna hotuba nyingi. Miongoni mwao viongozi waliotoa hotuba za namna hiyo ni Baba wa Taifa,…
Yah: Siasa isiwepo kila mahali
Kuna siku moja katika waraka wangu huu niliwahi kuonya juu ya mambo ya kitaalamu kuwaachia wataalamu wayafanye, wale ambao ni wanasiasa wajitahidi kutembea katika nafasi yao ya kupambana na masilahi na uwezeshaji wa kupanga vipaumbele kutokana na umuhimu. Kuna mambo…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (4)
Wiki iliyopita hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Tatizo jingine ni pale nilipotaka kutembea kidogo; ilipaswa kule nilikoelekea watu wataarifiwe kuwa nitapita eneo hilo kwa hiyo wachukue tahadhari nisije nikawakanyaga kwa bahati mbaya nikiwa katika mishemishe zangu. Hii ilikuwa kero…
‘Matusi’ hayakwepeki Bongo Fleva?
Kumekuwa na malalamiko yanayozidi kushika kasi kutoka kwa wadau wa soko la muziki wa Bongo Fleva siku za hivi karibuni, kwamba nyimbo nyingi zinazotungwa na kuimbwa na wasanii wa muziki huo zimekuwa na kasoro za kimaadili, hazina viwango vya kutosha…
AFCON acha tu
Wakati michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ikiendelea nchini Misri hii leo ili kukamilisha hatua ya makundi, makundi mawili yataingia uwanjani kupepetana ili kuungana na timu nyingine waweze kufuzu hatua inayofuata ya mashindano hayo. Makundi hayo yaliyosalia ni…