Day: October 8, 2019
Yah: Barua ya wazi kutoka kuzimu (1)
Kama wiki moja hivi imepita tangu nipitiwe na usingizi mzito kama ule wa kutolewa ubavu mmoja ili kumuumba mwanadamu mwenzangu uliponikumba katika mazingira ya ajabu, ningeweza kujiita majina ya ajabu ambayo wengine wamejibatiza huku wakijua hawakupata nafasi ya kuota kama…
Mafanikio katika akili yangu (4)
Katika toleo lililopita sehemu ya tatu tuliishia aya isemayo: “Leo sijaonana naye hata kidogo,” alisema rafiki yake Noel akiwa anasogea na kuegemea mtini. “Shule ni ngumu sana?’’ alihoji Mama Noel. Sasa endelea… Japo kuwa kwao Noel kulikuwa ni mjini lakini…
Barnaba ni almasi iliyong’arishwa THT (3)
Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ambapo Barnaba Classic anasimulia jinsi alivyokutana na Ruge Mutahaba Tanzania House of Talents (THT) alipokwenda kufanyiwa majaribio ya kufuzu kuingia katika jumba la kukuza vipaji. Barnaba ni mmoja wa wasanii wachache wanaopenda kuongea huku wakicheka hasa pale…
Wachezaji Stars lazima mjiongeze
Kinachoendelea katika Jiji la New York au Moscow ndani ya dakika hii, kinaweza kujulikana duniani kote ndani ya saa moja. Teknolojia imerahisisha sana maisha na katika sehemu nyingine za ulimwengu huu, watu wengi wanajikuta wakikosa ajira kwa sababu kazi zao…