Month: March 2020
Dunia yazizima
Wakati dunia ikizizima kutokana na kusambaa kwa ugonjwa wa corona, kamati za maafa katika mikoa mbalimbali nchini zimekuwa katika kipindi cha tahadhari zikisimamia kanuni na maelekezo yanayotolewa na Serikali Kuu za kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huo. Hadi tunakwenda mitamboni, ni…
‘Wapatanishwe’ (1)
Nilisoma katika gazeti moja la kila siku Jumatatu, Machi 16, 2020 lenye kichwa cha habari ‘WAPATATISHWE’ na chini yake palikuwa na maneno yalisomeka hivi: ‘Ni ushauri wa viongozi wa dini na wachambuzi kutokana na msuguanao baina ya wanasiasa na vyombo…
ALFRED NOBEL
Aliteswa na uvumbuzi wake Umewahi kumsikia mtu aliyejirudi, akabadilika kutoka mtu mbaya katika jamii na kufariki dunia akiacha sifa nzuri lukuki nyuma yake? Mmoja wa watu hao ni Mtume Paulo, ambaye kabla ya kuongoka na kuwa ‘Mtu wa Mungu’, aliongoza…
Bunge litunge ‘Sheria ya Corona’
Vita dhidi ya corona ni zaidi ya masuala ya utabibu. Ni vita ya kuunusuru uhai wa watu na uchumi. Tangu mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) uliporipotiwa kwa mara ya kwanza Desemba…
Serikali yajipanga kuboresha sekta ya uvuvi
Serikali imepanga kutumia zaidi ya Sh bilioni 92 mwaka ujao wa fedha kuimarisha sekta ya uvuvi nchini ili kuhakikisha fursa zinazopatikana kwenye sekta hiyo zinachangia kikamilifu maendeleo ya nchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Fedha na Mipango, kiasi kikubwa cha…
Afrika inaweza kuitawala dunia
Tangu baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili mwaka 1945, dunia imeshuhudia mivutano mikubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mivutano hii inalenga kuathiri mlingano wa mamlaka ambayo yanazipa nchi, au makundi ya nchi nguvu ya kutawala dunia kupitia mambo mbalimbali…