Month: March 2020
Stieglers hatarini
Wakati serikali ikiwekeza matrilioni ya fedha kupata umeme wa uhakika kutoka katika Bwawa la Nyerere lililoko Rufiji mkoani Pwani, hali ni tofauti kwenye vyanzo vya maji ya Mto Rufiji. Mto Rufiji ambao ndio chanzo kikuu cha umeme wa Stieglers (sasa…
Uwekezaji wawaachia umaskini Skauti
Kampuni yachukua eneo lote, wakosa hata pa kusimika Bendera ya Taifa Wakabiliwa na madeni, wakosa uwezo kuwafikia wanachama Chama cha Maskauti wa Kike Tanzania (TGGA) kimo katika hali mbaya huku kikikabiliwa na madeni makubwa yanayodaiwa kusababishwa na uwekezaji mbovu uliofanywa…
Dk. Kalemani: Corona isikwamishe miradi
Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amewataka makandarasi wanaotekeleza miradi ya usambazaji wa umeme vijijini kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya corona huku wakiendelea kutekeleza miradi hiyo na kuikamilisha kwa wakati. Akizungumza wakati akiwasha umeme katika Kituo cha…
Walemavu walalamika ombaomba kuondolewa
Hatua ya Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kutunga sheria ya kuwaondoa ombaomba jijini inapingwa na Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA), kikidai kutozingatiwa kwa hali na utu wa watu wenye ulemavu. Manispaa ya Ilala imetunga sheria ndogo kupiga marufuku ombaomba katika…
MAISHA YANAPOKUPATIA LIMAU, TENGENEZA JUISI YA LIMAU (3)
Maisha ni mtihani, uufanye Ili mwanafunzi apande darasa kuna mtihani ambao atapewa ili aufanye, anaposhinda mtihani huo ndipo anapopata nafasi ya kupanda darasa, akishindwa anarudia darasa. Maisha vilevile yanatupa mitihani ambayo hatuna budi kuifanya. Anayekwepa mtihani wake hawezi kusonga mbele,…
Ripoti ya CAG, nafasi ya uwajibikaji kwa Serikali
Wiki iliyopita Rais Dk. John Magufuli akiwa Ikulu ya Chamwino, Dodoma, alipokea Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2019 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mujibu wa sheria…