Month: March 2020
Kigoma sasa yafunguka
Ndoto ya kuunganisha kwa lami Tanzania, Burundi, DRC kupitia ‘central corridor’ yaiva Mtandao wa barabara kuu na barabara za mikoa nchini Tanzania unaosimamiwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) una jumla ya kilomita 36,258…
Ndugu Rais duh! Baba uko juu ya mawe!
Ndugu Rais, wanao tumekuona umelala juu ya jiwe. Umetukumbusha Yakobo yule aliyeimbwa na wanakwaya mahiri wa Mamajusi wa Majengo, Moshi. Yakobo alikuwa anasafiri kutoka Delisheba akielekea Almara. Njiani alichoka sana, akaamua kulala kwenye jiwe. Tunaambiwa malaika wa Mwenyezi Mungu walikuwa…
Kwa nini Waislamu nchini wawe chini ya Bakwata? (4)
Katika sehemu hii ya nne na ya mwisho ya makala hii iliyobeba anuani ‘Kwa nini Waislamu nchini wawe chini ya Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA)”, ninapenda kwa dhati kabisa kuwashukuru wasomaji wa Gazeti hili la JAMHURI ambao huwasiliana…
Bado pigo la uchumi
Kabla janga la homa ya corona kulipuka na kuwa balaa tunaloshuhudia, nilianza kuandika makala juu ya athari za awali kabisa za kiuchumi zilizojitokeza. Nikidhani wakati huo, tofauti na sasa, kwamba athari za kiuchumi zingekuwa kubwa kuliko zile za kiafya. Kinachotokea…
Marufuku ya maji ya baraka yaleta mapya Kanisa Katoliki
Maisha yamebadilika sana kutokana na ugonjwa huu wa corona. Si maisha tu, bali pia tamaduni, mazoea na tabia za jamii. Hakika hili litapita, lakini litaacha nyuma yake kumbukumbu kadhaa mbaya na nzuri. Kwa miaka mingi Wakristo duniani wamekuwa wakitumia maji…
Kama umemsahau Mungu, umejisahau mwenyewe (5)
Miaka kadhaa iliyopita mwanafalsafa, Glenn Tinder, aliandika makala ambayo ilijadiliwa sana kwenye Gazeti la Atlantic Monthly isemayo: “Je, tunaweza kuwa wema bila Mungu?” Majibu ya wachangiaji wengi yalisema: “Hapana.” Ni kweli hatuwezi kuwa wema kwa nguvu zetu wenyewe. Hatuwezi kupenda…