JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2021

Wataka uwazi mikataba ya uziduaji

DODOMA Na Mwandishi Wetu Asasi za kiraia nchini (AZAKI) zimependekeza suala la uwazi wa mikataba ya sekta ya uziduaji kuwa mojawapo ya vipaumbele vya serikali wakati wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Tatu unaotekelezwa sasa. Pendekezo hilo…

RC ataka utafiti matumizi ya ‘salfa’

TABORA Na Tiganya Vincent Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dk. Batilda Buriani, amezitaka taasisi za utafiti wa wadudu kuchunguza matumizi ya salfa (sulfur) wakati wa kunyunyuzia mikorosho kama haina athari kwenye ufugaji nyuki. Amesema ni muhimu ili makundi ya…

Jawabu si kuwafukuza wahuni, bali kuwakabili

Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dar es Salaam, kinakusudia kuzuia pikipiki za miguu miwili na miguu mitatu kutofika katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Baada ya kutolewa ilani hiyo, Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla, amesimamisha kwa muda…

Dk. Ashatu awatia matumaini wahariri

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita wahariri, wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi waandamizi walikutana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Ashatu Kijaji, katika kikao maalumu cha kufahamiana. Mambo kadhaa yalijadiliwa kuhusu wizara hiyo,…