JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: May 2023

Serikali yawatoa hofu wananchi kushindwa majaribio ya treni

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imewatoa hofu Watanzania kuhusu muda wa kuanza kwa majaribio ya treni ya abiria kwa kipande Cha kwanza Cha reli ya kisasa ya SGR kutoka Dar Es Salaam hadi Morogoro na kueleza kuwa haijadanganya bali…

IFC yazindua programu ya jinsia ‘ANAWEZA’

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma. Katika kuwezesha wanawake kiuchumi, Serikali kwa kushirikiana na Taasisi ya Benki ya Dunia (IFC) imezindua programu mpya ya Jinsia “ANAWEZA” itakayo tekelezwa kwa miaka mitano na kugharimu zaidi ya Dola za kimarekani milioni 10. Akizungumza leo…

Rais Dkt. Samia aunda kikosi kazi kupata mbinu za kumaliza utapiamlo, udumavu

Timu ya Watafiti na Wataalamu wabobevu wa masuala ya lishe nchini wakiongoza na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo wakutana kwenye mafunzo ya siku nne kuwajengea uwezo kabla ya kuanza zoezi la Kitaifa la kufaya tathimini ya haraka ya visababishi…

Chongolo apokelewa na vilio Kilolo, atoa siku 10 kwa Waziri Aweso

Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Kilolo Wananchi wa Kijiji cha Uhambingeto, Jimbo la Kilolo mkoani Iringa, wamempokea Katibu Mkuu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Daniel Chongolo kupokelewa na wananchi kwa kilio kwa kudai kukwama kwa mradi wa maji. Kilio hicho kimekuja wakati diwani…

Mbunge Kabati: Wanawake tushirikiane kumuunga mkono Dkt.Samia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Wito umetolewa kwa wanawake wote nchini, kushikamana kwa kuhakikisha wanamuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika jitihada zake mbalimbali za kuwainua wanawake kiuchumi. Wito huo umetolewa na Mbunge…