JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2023

NHIF yaelekezwa kutoa huduma mpaka ngazi ya zahanati

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameelekeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kutoa huduma mpaka ngazi ya zahanati kwa vituo vyote vilivyokidhi vigezo vya kupewa huduma hiyo, ikiwemo kigezo cha kusajiliwa. Dkt. Mollel ametoa maelekezo hayo leo…

Peramiho wahimizwa kurasimisha biashara zao BRELA ili kupata fursa mbalimbali

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera  Bunge na Uratibu) na Mbunge wa Jimbo la Perahimo,  Jenista Mhagama amewataka wananchi  wa Jimbo hilo kurasimisha biashara zao ili kwenda na wakati na kujiletea maendeleo ya…

TPA yaweka wazi mikakati kuimarisha ushirikiano na nchi jirani zinazotumia Bandari ya Karema

Na Mwandishi Wetu, Katavi Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefanya jitihada mbalimbali za kufanya vikao na wadau mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara kutoka nchi jirani ambazo zinatumia bandari ya kimkakati ya Karema. Lengo la kufanyika kwa vikao hivyo ni kuendeleza…

Rais Dkt. Samia awaalika Yanga kwa chakula cha jioni kesho Jumatatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho Juni 5, 2023 ameialika timu ya Dar es Salaam Young Africans (Yanga) kwa chakula cha jioni Ikulu, Jijini Dar es Salaam kwa lengo kuipongeza kwa kufanya vizuri katika…

Yanga yashindwa kuweka historia, Mayele akichukua kiatu cha dhahabu

Klabu ya Yanga imeshindwa kuwa mabingwa licha kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya USM Algers kwenye mchezo wa Fainali kombe la Shirikisho mkondo wa pili mara baada ya matokeo ya kwanza akiwanyumbani kuruhusu kufungwa mabao 2-1. Katika mchezo huo…

Waziri Dkt.Tax amwakilisha Rais mkutano wa ICGLR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 10 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali…