JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Jaji Mkuu Kenya kuunda jopo la majaji kusikiza kesi ya kupinga kuondolewa madarakani kwa Gachagua

Jaji Lawrence Mugambi amepeleka kesi ya kupinga kutimuliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa Jaji Mkuu Martha Koome ili kuunda jopo la majaji litakalosikiza na kuamua suala hilo. Katika uamuzi wake wa Ijumaa asubuhi, Jaji Mugambi alisema ombi hilo linaibua…

Milioni 1.2 kuandikishwa Daftari la Wapiga Kura Pwani – RC Kunenge

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani unatarajia kuandikisha zaidi ya watu milioni 1.2 kwenye Daftari la Wapiga Kura, zoezi ambalo limeanza rasmi Oktoba 11 na linatarajiwa kukamilika Oktoba 20 mwaka huu. Kwa mujibu wa mkoa huo ,zoezi hilo…

Dk Biteko aongoza wananchi Bukombe kujiandikisha Daftari la Mpiga Kura

📌Awahimiza Kujitokeza kwa Wingi Kujiandikisha 📌 Awataka Kutumia Haki ya Kikatiba kuchagua Viongozi Wao Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa…

ACT-Wazalendo walalamikia utaratibu wa uwazi mchakato wa Uchaguzi Serikali ya Mtaa

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Wakati Daftari la Kudumu la Kujiandikisha la Kupiga kura zoezi likianza Oktoba 11, 2024 Chama cha ACT – Wazalendo kimesema kuna baadhi ya mambo hayako sawa hivyo wameiomba TAMISEMI kuwa na uwazi, uadilifu na mfumo…