JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

BAWACHA kuchoma vitenge vya Rais Samia ni kumkosea heshima

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Baraza la Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Mkoa wa Pwani, limelaani vikali kitendo kauli ya Wanawake wa Chadema (BAWACHA) ,Kanda ya Pwani kutangaza kuchoma moto vitenge walivyopatiwa kama zawadi na Rais Dkt. Samia Suluhu…

Naibu Waziri Mkuu Biteko aipongeza Wizara ya Madini kwa mpango wa kuongeza akiba ya dhahabu nchini

Awataka wadau kuunga mkono mpango wa Serikali -Waziri Mavunde asema mgomo umeisha kupitia mariadhiano -BOT yaendelea kununua dhahabu kwa bei ya soko -Wadau watoa kauli ya kuunga mkono mpango wa serikali ๐Ÿ“ Bombambili,Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati…

Msomera ni salama atakaye na aje – Wakili Msando

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Mkuu wa Wqilaya ya Handeni Mkoani Tanga Albert Msando amewahakikishia wananchi wanaoishi Tarafa ya Ngorongoro na wanataka kuhamia katika kijiji cha Msomera kutokuwa na hofu yoyote kuhusiana na maisha ndani ya kijiji hicho kwani ni…

Serikali yakaribisha wawekezaji sekta ya madini

,๐Ÿ“Œ Dkt. Biteko Asema Matumizi ya Teknolojia na Nishati Safi katika Shughuli za Madini Hayaepukiki ๐Ÿ“Œ Serikali Yendelea Kufanya Mapinduzi Makubwa katika Sekta ya Madini ๐Ÿ“ŒMaonesho ya Madini Geita kuwa ya Kimataifa Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri…

Bashe atangaza neema mradi wa umwagiliaji Mkomanzi Korogwe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga- WAZIRI wa Kilimo,.Hussein Bashe (Mb), ametangaza neema katika mradi wa Umwagiliaji Mkomazi uliopo Korogwe mkoani Tanga na kusema ndoto ya Mwalimu Julius Nyerere inatimizwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza mara baada ya kukagua…

Naibu Waziri Mkuu apongeza Tume ya Madini kwa ukusanyaji maduhuli

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amepongeza Tume ya Madini kwa kuendelea kuvuka lengo la ukusanyaji wa maduhuli na kusisitiza kuendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha wanavuka lengo walilopewa na Serikali la kukusanya kiasi cha shilingi Trilioni…