JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Kim : Korea Kaskazini itatumia silaha za nyuklia iwapo itashambuliwa

Kim Jong Un kiongozi wa Korea Kaskazini amesema hatasita kutumia uwezo wake wote wa kuadhibu yeyote ikiwa nchi yake itashambuliwa, Shirika la Habari la Korea (KCNA) liliripoti. Kulingana na ripoti hiyo, Kim Jong Un alitaja uwezekano wa kutumia silaha za…

Wizara ya Kilimo yaokoa shamba la ushirika Chauru Ruvu yalipa bilioni 16

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani. Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za…

Rais Samia aja na hatua mpya katika maboresho ya fumo wa kikodi Tanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa kiongozi wa kwanza tangu Rais Benjamin Mkapa kuboresha mfumo wa kikodi nchini Tanzania, baada ya kuunda Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi. Tume hii ina lengo…

Dk Biteko kufungua Maonesho ya Madini Geita

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko atazindua Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Geita yaliyoanza Oktoba 2, kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita. Akizungumza…

Serikali yathamini mchango wa viongozi wa dini kwenye maendeleo

📌Dkt. Biteko Ashiriki Jubilei ya Miaka 25 ya Padre Dkt. Faustine Kamugisha 📌 Asisitiza Tofauti ya Dini si Tatizo, Watanzania Waendelee Kuishi kwa Umoja na Amani Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na…

Uwepo wa umeme vijijini unachagiza matumizi ya nishati safi ya kupikia – Mhagama

📌Asema Nishati Safi ya Kupikia inastawisha familia kijamii na kiuchumi 📌Aeleza athari za ukataji miti na uchomaji mkaa Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema juhudi za Serikali kupitia Wizara ya Nishati kufikisha umeme hadi maeneo ya Vijijini zinapelekea wananchi kupika…