JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Jaji Luanda atembelea Ofisi za Jamhuri Media

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji Mstaafu Bernard Luanda, amewashauri waandishi wa habari, kuandika habari zisizo na mlengo mbaya na badala yake kuandika habari zinazoelimisha wananchi hasa kwa kipindi hiki tunachoelekea…

Mashambulio mapya ya Israel yapiga Beirut kusini

Vyombo vya habari vya serikali ya Lebanon vimesema mashambulizi matatu ya anga ya Israel yameipiga ngome ya Hezbollah kusini mwa Beirut siku ya leo. Chanzo kilicho karibu na kundi hilo kimeliambia shirika la habari la AFP kwamba shambulio hilo lililenga…

Idadi ya waliofariki Ziwa Kivu mashariki mwaDRC wafikia 78

Takriban watu 78 wamefariki dunia baada ya feri kupinduka kwenye na kuzama katika Ziwa Kivu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umbali wa mita mia chache tu kutoka ilipopelekwa. Feri hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka mji wa Minova huko Kivu…

TASAF yaagiza viongozi halmashauri kusimamia miradi kwa umakini zaidi

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Shadrack Mziray ameagiza viongozi wa Halmashauri ambazo zinatekeleza miradi mbalimbali ya TASAF ikiwemo ujenzi wa zahanati, stendi pamoja na nyumba za wauguzi kusimamia miradi hiyo ili ifanyike…

Ajali ya boti yaua takribani watu 50 Kongo Mashariki

Takriban watu 50 wamefariki baada ya boti iliyokuwa imewabeba kupinduka katika Ziwa Kivu, mashariki mwa Kongo hii leo.Mashuhuda wameliambia shirika la habari la AP. Idadi kamili ya waliokuwamo kwenye boti hiyo haikufahamika mara moja na kwamba ni watu watu wangapi…

Kim atishia kuisambaratisha Korea Kusini kwa nyuklia

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un leo ametishia kutumia silaha za nyuklia na kuisambaratisha kabisa Korea Kusini iwapo nchi hiyo itamchokoza. Haya ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari nchini humo. Hii ni baada ya kiongozi wa…