JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

BoT yatoa angalizo kwa watumiaji fedha za kigeni

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma BENKI Kuu ya Tanzania (BOT)imeendelea kupiga marufuku watoa huduma mbalimbali nchini kufanya malipo ya ndani ya nchi kwa kutumia fedha za kigeni ambapo imesema kufanya hivyo ni kosa kisheria. Uamuzi huo unatokana na matarajio ya mfumuko wa…

Waziri Mkuu afunga mkutano mkuu wa kumi wa wadau wa lishe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo wa kuchanganya lishe katika vyakula alipotembelea banda la maonesho la Taasisi ya GAIN Tanzania kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa kumiwa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3,…

Dk Tulia ataka ushirikiano na mawazo bunifu kuliendeleza Bara la Afrika na watu wake

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akihutubia kwenye Mkutano wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, amewataka washiriki wa…

Mahakama yaridhia mabaki ya Maradona kuhamishwa

Na Isri Mohamed Mahakama nchini Argentina imetoa ruhusa kwa mabaki ya Mwanasoka Nguli wa zamani Diego Maradona (aliyefariki mwaka 2020 kwa matatizo ya Moyo), kuhamishwa. Mapema mwaka jana watoto hao waliomba mabaki ya Baba yao yahamishwe kutoka eneo la Makaburi…