JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Papa Francis akosoa kuibuka tena kwa vita

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis, leo ameanza ziara ya siku nne nchini Luxembourg na Ubelgiji akitoa wito wa diplomasia ya kimataifa na mashauriano huku kukiwa na wimbi la mizozo kote ulimwenguni. Papa Francis anapanga kuutumia muda wake katika…

Serikali yatoa trekta tano kwa wanaotekeleza Mradi wa BBT Njombe

Waziri wa Kilimo Hussen Bashe ametoa Trekta tano kwa vijana na wanawake katika Wilaya wa Njombe kwa ajili ya mradi wa Kilimo cha jenga kesho iliyo bora (BBT) ili kurahisha shughuli hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Njombe Kissa Gwakissa Kasongwa…

Serikali yaahidi kutumia ndege nyuki kuwaondoa tembo kwenye makazi ya watu Tunduru

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Tunduru Rais Samia Suluhu Hassan amehutubia maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma akisisitiza umuhimu wa maendeleo ya jamii na ushirikiano katika kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo ya kuwaondoa Tembo kwa kutumia ndege nyuki kwenye…

Mfumo wa kidigitali wa Airpay na ZEEA kuwarahisishia wajasirimali kupata mikopo kwa urahisi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar KAMPUNI ya Airpay Tanzania imesema kuwa mfumo wa kidigitali walioutengeneza kwa kushirikiana na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) na taasisi zingine za kifedha utawarahisishia wajasiriamali wa Zanzibar kupata mikopo kwa urahisi na haraka. Hayo…

Watumiaji wa mtandao wa Airtel kunufaika na huduma mpya

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya mtandao wa mawasiliano nchini ya Airtel imezindua rasmi kampeni mpya ambayo itawanufaisha watumiaji wa mtandao huo hapa nchini. Kampeni hiyo ijulikanayo kama ‘Jiboost’ imezinduliwa rasmi leo hii katika makao makuu ya…