Year: 2024
Ulimwengu wataka Mashariki ya Kati isitumbukie vitani
Viongozi mbalimbali wa dunia wamehutubia mkutano wa Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa wakiutahadharisha ulimwengu kutokana na kuanza kutanuka kwa vita vya Mashariki ya Kati. Mbali na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres, Rais wa Marekani, Joe Biden,…
Serikali ya Tanzania kushiriki Kongamano la Kimataifa la Usafirishaji nchini China
Waziri wa Uchukuzi , Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ameshiriki katika Kongamano la Kimataifa la Usafirishaji Endelevu (2024 Global Sustainable Transport Forum). Kongamano hilo ambalo limekutanisha Mawaziri na Wadau wa masuala usafiri kutoka Mataifa mbalimbali Duniani, limeandaliwa na kuratibiwa na Serikali…
Marekani : Iran inataka kumuua Trump
IDARA ya Ujasusi ya Marekani imemuonya mgombea urais kwa tiketi ya Republican, Donald Trump, juu ya kile inachodai ni kitisho cha kweli na cha wazi kutoka Iran inayotaka kumuua. Timu ya kampeni ya mgombea huyo ilisema kwenye taarifa yake ya…
Wasafirishaji binadamu wakamatwa
Polisi nchini Ujerumani imefanya msako katika majengo kadhaa kusini magharibi mwa nchi hiyo ili kuwakamata watu wanaojihusisha na usafirishaji haramu wa binadamu . Jeshi la Polisi nchini humo tayari limeshapokea hati nne za kuwakamata na msako huo utaendelea kufanyika katika…
Rais Samia ashuhudia usafishaji kahawa katika Kampuni ya AVIV
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika kichanja (dryer) cha kusafisha na kuanika Kahawa aina ya Arabica ya Kampuni ya AVIV Tanzania Limited tarehe 24 Septemba 2024 wakati wa ziara yake katika shamba…
P Didy aomba kuzungumza na watoto wake
Na Isri Mohamed Wakati akisubiri kusikiliza kesi yake katika kituo cha Metropolitan Detention Center cha Brooklyn, New York City, Rapa Sean Didy Combs maarufu kama P Didy, ameomba kuzungumza na watoto wake kwa njia ya simu ili kujua hali zao….