Year: 2024
Kapinga : Mkakati wa matumizi ya maji kwa kuzingatia mahitaji ya kila sekta umeleta mafanikio
📌 Ampongeza Dkt.Biteko kutoa muongozo matumizi endelevu ya maji 📌 Asema JNHPP ni kielelezo cha matumizi bora ya maji 📌 Asisitiza Taasisi za Serikali kuendelea kusimamia matumizi bora maji Imeelezwa kuwa, Mkakati wa ushirikiano uliowekwa na Wizara zinazohusika na Sekta…
Ubalozi wa Saudi Arabia waahidi kudumisha uhusiano zaidi na Tanzania
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taifa la Saudi Arabia limeadhimisha miaka 94 tangu ilipopata uhuru wake kutoka mikononi mwa koloni la muingereza. Kihistoria taifa la Saudi Arabia lilijipatia uhuru wake rasmi mnamo septemba 23 ya mwaka 1932 chini…
Rais Samia: Uzalishaji kahawa waongezeka, waingiza dola milioni 250
Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Songea RAIS Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema mafanikio yaliyopo sekta ya kilimo hayatokei kwa bahati mbaya bali ni kutokana na juhudi z kubwa zilizofaywa na Serikali. Amesema zao la kahawa pekee limeongezeka katika uzalishaji kutoka tani 65…
Shambulizi la Urusi nchini Ukraine lakatiza huduma za umeme
Shambulizi la usiku kucha la Urusi katika eneo la kati mwa Ukraine, Poltava limeharibu miundo mbinu ya nishati na kukata umeme kwenye makazi 20. Haya yamesemwa leo na mamlaka katika eneo hilo. Shambulizi la usiku kucha la Urusi katika eneo…