Year: 2024
Zaidi ya watu 70,000 waliojitolea kuipigania Urusi wafa Ukraine
Zaidi ya watu 70,000 wanaopigana katika jeshi la Urusi sasa wamefariki nchini Ukraine, kulingana na data iliyochambuliwa na BBC. Na kwa mara ya kwanza, watu wa kujitolea raia ambao walijiunga na vikosi vya jeshi baada ya kuanza kwa vita, sasa…
UN yaridhia Israel kuondoka Palestina
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuunga mkono la kisheria la Palestina linaloitaka Israel kuondoka Gaza na maeneo yanayokaliwa kwa mabavu katika ukanda wa magharibi nchini humo. Mataifa 43 kati 193 zikiwemo Ujerumani, yamejizuwia kupiga kura kuhusu…
Msongozi awashauri wanawake kugombea nafasi za wenyeviti Serikali ya Mtaa
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Jacklin Ngonyani Msongozi amewataka wanawake mkoani humo kujitokeza kugombea nafasi za mwenyekiti wa Serikali za Mitaa ili kukuza usawa wa kijinsia na kuimarisha demokrasia ndani ya nchi. Msongozi ameyasema…
Waziri Mhagama afurahishwa na MSD inavyookoa maisha ya watoto njiti
Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Afya Jenista Mhagama ameipongeza Bohari ya Dawa (MSD) kwa kuendelea kuhakikisha inanunua vifaa muhimu vinavyohitajika kusaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa wakiwa njiti. Waziri Mhagama amesema hayo leo wakati akikabidhi vifaa…
Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19…