Year: 2024
Papa na imamu mkuu wa Indonesia watoa wito wa pamoja wa amani
Papa Francis ameonya dhidi ya kutumia dini kuchochea migogoro katika siku yake ya mwisho ya ziara yake nchini Indonesia, sehemu ya kwanza aliofika katika ziara yake ya kuzunguka eneo la Asia Pacific. Katika msikiti wa Istiqlal katika mji mkuu wa…
Wafariki kwa mganga wakitafuta dawa ya biashara, wazikwa kwa siri
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Wafanyabiashara wawili Raymond Hyera (25) na Riziki Mohamed (30) wamefariki dunia wakiwa kwa mganga wa tiba za asili, Mtila Ausi maarufu Shehe Mtila, baada ya kupewa maji ya kuwawezesha biashara zao kufanya vizuri. Baada ya kunywa…
Rowen William achaguliwa kuwania Ballon D’or
Na Isri Mohamed Golikipa wa Mamelod Sundowns, Ronwen Williams amechaguliwa kuwania tuzo kubwa za mpira duniani ‘Ballon D’or’ katika kipengele cha magolikipa kumi bora duniani ”YashinTrophy’ Katika kipengele hicho, Williams anashindanishwa na na Diogo Costa (FC Porto), Gianluigi Donnarumma (Paris…
Mwanafunzi wa miaka 14 awaua wenzake kwa bunduki Marekani
Watu wanne wameuawa baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 kufyatua risasi katika shule ya sekondari huko Gerogia nchini Marekani.Waliouawa wametambulika kuwa ni wanafunzi wawili na walimu wawili. Watu wanne wameuawa baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14…
Kiongozi wa upinzani Uganda ‘Bobi Wine’ kufanyiwa upasuaji
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine amepangwa kufanyiwa upasuaji baada ya kudaiwa kupigwa risasi na askari Polisi. Taarifa zinasema Bobi Wine atafanyiwa upasuaji baadaa ya kujeruhiwa mguu katika tukio la vurugu lilitokea mjini Kampala. Wakili…