Year: 2024
Diwani Kimwanga : Awataka wazazi kupuuza taarifa za kutekwa kwa watoto
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Diwani wa Kata ya Makulumla Wilaya ya Ubungo, Jijiji Dar es Salaam, Bakari Kimwanga, amesema kumekuwa na taarifa nyingi zinazohusiana na kutekwa kwa watoto wakiwa shuleni ambapo amesema taarifa hizo kuwa sio nyingi…
WHO ina wasiwasi wa kuzuka mripuko wa ugonjwa wa polio Gaza
Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameonesha wasiwasi juu ya uwezekano wa miripuko katika Gaza iliyokumbwa na vita baada ya virusi vya ugonjwa wa kupooza kugunduliwa kwenye maji taka Ayadil Saparbekov, ambae ni mkuu wa…
Democratic waonekana kumuunga mkono Harris
Makamu wa Rais,Kamala Harris ameonekana kuungwa mkono na wajumbe wa kutosha wa Chama cha Democratic kuteuliwa kuwa mgombea wa urais wa chama hicho. Utafiti uliofanywa na Shirika la Habari la Associated Press umegunduakuwa zaidi ya wajumbe 1,976 wako tayari kupiga…
Dira mpya itafsiri maono ya Rais Samia
MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amesema kupitia dira mpya anatamani viongozi kuangalia muelekeo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kutafsiri maono yake katika misingi ya ujenzi wa taifa lenye usawa, haki na uhuru wa watu. Bomboko amesema hayo…
BASATA yamfungia Babu wa Tiktok
Msanii wa Muziki wa Taarabu Seif Kisauji ‘Babu wa Tik tok’ afungiwa kufanya kazi za Sanaa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Miezi sita na kupigwa faini ya shilingi Milioni 3. Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Sheria Na….