JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Chalamila apokea melivita ya matibabu ya Jeshi la Ukombozi la watu wa China, matibabu bure

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam -Atoa rai kwa wakazi wa Dar es Salaam na Watanzania kujitokeza kwa wingi kupatiwa matibabu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Julai 16,2024 amepokea Melivita ya matibabu iitwayo Peace…

ATCL yaanzisha kampeni ya afya yako mtaji wako

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMPUNI ya ndege ya (ATCL), imeanzisha kampeni ya miezi mitatu iliyopewa jina la Afya yangu maisha yangi kwa lengo la kuhamasisha wananchi kujali afya zao. Kampeni hiyo imetangazwa leo na itamazilika mwezi Oktoba…

Babati DC haijakurupuka bali imejipanga na miradi yenye Viwango -Mnzava

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Babati Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa Godfrey Eliakimu Mnzava amesema Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara haijakurupuka bali imejipanga kwa kuwa na miradi yenye viwango. Hayo amezungumza Julai 16, Mwaka huu wakati…

Matembezi ya utulivu rasmi kufanyika Julai 20

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi isiyo ya kiserikali ya ”Utulivu” kwa kushirikiana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na michezo inatarajia kuendesha matembezi maalum ya Utulivu mwishoni mwa wiki hii. Akizungumza katika mkutano na wanahabari mapema leo hii…