JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

JKCI yatoa huduma mpya za tiba mtandao (DOZEE) Sabasaba

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeanzisha huduma mpya za tiba mtandao na huduma ya kufuatilia maendeleo ya mgonjwa anayetibiwa akiwa nyumbani kwa kutumia kifaa kijulikanacho kwa jina la DOZEE. Hayo yameelezwa…

Wananchi watakiwa kupima viwanja vyao ili kupata atimiliki

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMISHNA wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, Shukrani Kyando ametoa wito kwa wananchi kujitahidi kulipia gharama za upimaji ardhi ili waweze kupimiwa Viwanja vyao na kupewa Hatimiliki. Wito huo…

RC Mara afurahishwa na uanzishwaji Tuzo za Uandishi wa Habari Nora

Na Helena Magabe,JamhuriMedia, Mara Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amefurahishwa na hatua ya Mwenyekiti wa klabu ya Waandishi wa habari Mara(MRPC )Mugini Jacob kuazisha mchakato wa tuzo ya uandishi ulio Bora bora Mara. Haya ameyasema Julai 5,…

ATCL yawaita wananchi kutembelea Sabasaba kujionea fursa mbalimbali walizonazo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKURUGENZI Mkuu Shirika la ndege Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi amesema wameanzisha huduma ya kumtambua mteja ambae anafanya safari zake mara kwa mara kwa kutumia shirika hilo ambapo mteja huyo anaweza kukata tiketi ya…

Jaji Mkuu aitaka BRELA kuiwezesha mahakama kwenye kanzidata ya wakala

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JAJI Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma ameitaka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuiwezesha Mahakama nchini kuunganishwa kwenye Kanzidata ya Wakala ili kuweza kuhakiki taarifa za kampuni kwa uharaka…

Wananchi wafurahia banda la EACOP Sabasaba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam WANANCHI na wadau mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kutembelea Banda la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maraarufu…