Year: 2024
Tanzania ipo tayari kwa AkiliMnemba – Dkt. Mwasaga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa, Tanzania sasa ipo tayari kwa matumizi ya teknolojia ya Akili Mnemba na kwamba Watanzania hawapaswi kuwa na hofu yoyote, kwani teknolojia hiyo haiji kuondoa nafasi za kazi bali kuongeza tija. Hayo…
Dkt Mataragio akagua ujenzi wa kituo mama cha kujaz9ia gesi
Amtaka Mkandarasi kuongeza kasi *Mitambo kuanza kusimikwa Septemba 2024 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amekagua kazi za ujenzi wa Kituo cha Kujazia Gesi kinachojengwa katika barabara ya Sam Nujoma mkoani Dar es Salaam na kumtaka Mkandarasi…
Rais Samia unda Kikosi Kazi cha Kuchunguza Kodi
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kodi, kodi, kodi…Nimetaja neno kodi mara tatu mwanzoni mwa makala hii. Nimetaja kodi kutokana na matukio makuu matatu ndani ya wiki iliyopita. Tukio la kwanza ni mgomo wa wafanyabiashara ulioanzia Kariakoo, Dar es Salaam…
Naibu Waziri Kapinga ataka kasi ya uunganishaji umeme Ushetu iongezeke
📌 Asisitiza utunzaji wa miundombinu ya umeme 📌 Kijiji cha Sunga wilayani Ushetu kupata umeme ndani ya siku Tisa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga ameuagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia…