Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma
JamhuriComments Off on Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Laurean Josephat Ndumbaro kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Hassan Omari Kitenge kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.