Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.