Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 28 Agosti, 2025.