Matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kampeni ya CCM
JamhuriComments Off on Matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kampeni ya CCM
hamrashamra za Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025.