Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk Samia atua Zanzibar,
JamhuriComments Off on Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk Samia atua Zanzibar,
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Zanzibar akitokea mkoani Kigoma ambako amehitimisha kampeni zake mkoani humo kwa mkutano mkubwa uliofanyika kwenye viwanja vya Kutosho Bandari Kavu kata ya Gungu kwa kuwahutubia maelfu ya watu waliofika katika mkutano huo na kuwaomba kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge, na Madiwani unaotarajiwa kufanyika nchini kote.