Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiomba kura kwa wafanyabiashara katika soko la mitumba la Mwanga jimboni hapo, mkoani Kigoma, Septemba 18, 2025.

Zitto aliambatana na viongozi na wanachama wa chama hicho walipokuwa wakiomba kura kwa wakazi wa kata hiyo.