Naibu Mwenezi Taifa, Ndugu @ayo_shangwe amemnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Maswa Mashariki kwa tiketi ya ACTwazalendo, Abel Mpina katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Modeco Maswa Mjini.
Oktoba #LindaKura
MuhuniHasusiwi