Zitto amuombea kura diwani kata ya Kipampa, Lukumbu Msambya
JamhuriComments Off on Zitto amuombea kura diwani kata ya Kipampa, Lukumbu Msambya
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika kata ya Kipampa jimboni hapo mkoani Kigoma, Oktoba 15, 2025. Akiwa kwenye mkutano huo alimuombea kura diwani wa kata hiyo, Lukumbu Msambya.