Balozi Dkt. Nchimbi ashiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais, mbunge na diwani
JamhuriComments Off on Balozi Dkt. Nchimbi ashiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais, mbunge na diwani
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais,Mbunge na Diwani katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 29, Oktoba 2025.