Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko leo Novemba 11, 2025 akila kiapo cha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu.