Dk Mwigulu, mkewe wahani msiba wa mama Fatma Karume
JamhuriComments Off on Dk Mwigulu, mkewe wahani msiba wa mama Fatma Karume
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, na Mwenza wake Mama Neema Mwigulu, leo Oktoba 14, 2026 wamehani msiba wa Mama Fatma Karume, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume, Mbweni Zanzibar.