Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho kwa Balozi Mteule wa Umoja wa Ulaya nchini
JamhuriComments Off on Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho kwa Balozi Mteule wa Umoja wa Ulaya nchini
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Jean-Marc Pisani, Balozi Mteule wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Oktoba, 2026.