Dk Samia apokea Hati za Mabalozi wanne wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam
JamhuriComments Off on Dk Samia apokea Hati za Mabalozi wanne wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Moravia Peralta Hernández Balozi Mteule wa Jamhuri ya Venezuela nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Moravia Peralta Hernández Balozi wa Jamhuri ya Venezuela nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. Moravia Peralta Hernández Balozi wa Jamhuri ya Venezuela nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. George Pschias, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Ugiriki mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. George Pschias, Balozi wa Jamhuri ya Ugiriki mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Leon Francois Yandouma, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Congo (Brazzaville) mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Leon Francois Yandouma, Balozi wa Jamhuri ya Congo (Brazzaville) mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. Leon Francois Yandouma, Balozi wa Jamhuri ya Congo (Brazzaville) mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Dkt. Simone Knapp, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Austria mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Dkt. Simone Knapp, Balozi wa Jamhuri ya Austria mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye picha na Mhe. Dkt. Simone Knapp, Balozi wa Jamhuri ya Austria mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.